Monday, 31 March 2008

HII NDIO FAIDA YA WIZI


kijana mmoja ambaye jina lake halikweza kufahamika alijikuta akiamblia kichapo baada ya kusadikiwa kutaka kuiba pochi ya mama lishe nje kidogoya chuo cha kiislam cha morogoro.

No comments: